mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 1,037
- 2,736
Bado huo mshahara sio mbaya sana ukiangalia na mazingira ya kazi ya u tutorial yalivo... Kuna vihela vingi vya research halafu mi naona ni kazi ambayo mtu una uhuru sio kama hizi kazi za kusimamiwa na mabosi...
Hatuwezi wote kwenda eGA... halafu ukiambia eGA mtu anakula 2.6.. mi ntakuambia mahali mtu anakula 4.3...ututorial kazi ya kizembe tu, watu eGA wanakula 2.6M unasemea hiyo 1.6M
Kawaida huwa wanapotangaza kazi wanaweka mshahara. Huwezi kuomba kazi ambayo hujui mshahara utakuwa sh ngapi. Naona ukosefu wa ajira umewafanya wabongo waone kuomba kazi ni kulamba miguu ya watuHata kazi hujapata ushauliza mshahara
mkuu mimi sipo eGa wala nini, ni kwamba nimevurugwa tu na interview ya kazi za UtutorialHatuwezi wote kwenda eGA... halafu ukiambia eGA mtu anakula 2.6.. mi ntakuambia mahali mtu anakula 4.3...
heshimu kazi ya kila mtu mkuu usijione kuwa EGA ndo umepatia life
Simply unachukua hiyo unatoa;Mkuu wewe unamfahamu kuwa baada ya makato ( pamoja na makato ya bodi ya mikopo HESLB) hiyo 1.6m na 1.9m zinabakia shilingi ngapi
Duhh sio poa asee kwa hesabu za haraka haraka ni kama 880k inakatika kwa huyo wa 1.6m na anabaki na 720k tu, yaani kutoka 1.6m to 720k sio poa asee. Maybe kutakuwa na benefits nyingine maana kama ni hivyo tu bhas Hali ni tete.S
Simply unachukua hiyo unatoa;
15% kama alikopa HESLB
3% NHIF
5% PENSHION
%% INCOME TAX angalia kwa TRA calculator
2% vyama vya wafanyakazi
Kinachobaki ndo halali yako.
aaaah okay.. polee mku hamna kukata tamaa lkinimkuu mimi sipo eGa wala nini, ni kwamba nimevurugwa tu na interview ya kazi za Ututorial
Kwa mfano wa 1.6M makato yake ni haya yafuatayoDuhh sio poa asee kwa hesabu za haraka haraka ni kama 880k inakatika kwa huyo wa 1.6m na anabaki na 720k tu, yaani kutoka 1.6m to 720k sio poa asee. Maybe kutakuwa na benefits nyingine maana kama ni hivyo tu bhas Hali ni tete.
Na zile ajira za TRA wale custom officers sijui watakuwa wanapokea kiasi Gan.
Mimi income tax nmeweka 30% coz nmeona google inasema hivyo boss, hiyo 284,000 ya income tax amount si ni 17.75% ya 1.6m ?Kwa mfano wa 1.6M makato yake ni haya yafuatayo
Income Tax: 284,000
HESLB : 240,000
PSSF : 80,000
NHif : 48,000
W/union: 32,000
Jumla ya makato: 684,000
Take home: 916,000
Kazi iendelee.
Income tax ina kanuni yake...Mimi income tax nmeweka 30% coz nmeona google inasema hivyo boss, hiyo 284,000 ya income tax amount si ni 17.75% ya 1.6m ?
Hii income tax serikali inatoa hela mfuko wa kushoto inaweka mfuko wa kulia. Sijui huwa inasemaje mapato yameongezeka ilihali inarudisha hicho ilichotoaKwa mfano wa 1.6M makato yake ni haya yafuatayo
Income Tax: 284,000
HESLB : 240,000
PSSF : 80,000
NHif : 48,000
W/union: 32,000
Jumla ya makato: 684,000
Take home: 916,000
Kazi iendelee.
Kwamba urafiki umeishia hapo?Kuna mwanangu anasoma Phd anafundisha chuo flan nilimkosoa andiko lake flan jamaa kanitosa mazima
Asante mkuu. Nlikuwa sijui Hilo boss👍Income tax ina kanuni yake...
Unatoa kwanza 5% ya mfuko wa hifadhi ya jamii then inayobaki ndo inakokotolewa.
Toa 5% ta 1.6M kisha kinachobaki kaingize kwenye PAYE Calculator ya TRA utapata jibu
aaaah okay.. polee mku hamna kukata tamaa lkini
Hapo washapata mtu wao.
- nimefanya presentation wananiambia sieleweki ninacho- present,
- Nimeulizwa maswali magumu ajabu.
Ilikuwa ni interview ya assistant lecture..??
- nimefanya presentation wananiambia sieleweki ninacho- present,
- Nimeulizwa maswali magumu ajabu.
tutorialIlikuwa ni interview ya assistant lecture..??
1.9 inaenda had 1.3 for those wth medical degrees baada ya makatoNadhani wa 1.9 anafika kwenye 9+ to M, maana hapo jamaa kapigia mahesabu wa 1.6 ndo akafika kwenye 800k - 900k, na naskia mwaka huu kulikuwa na nyongeza ya mishahara ya 23% kama sikosei, sio mtaalamu wa kucalculate but nadhani kama ikiwa applied kwa huyo wa 1.6 na huyo wa 1.9 maybe wanaweza fika M to M+(I'm just assuming/thinking)
1.9
1.9 inaenda had 1.3 for those wth medical degrees baada ya makato