mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 1,037
- 2,736
Hapa bongo mishahara ni ya kawiada sana
Wale maAcademician wanachukuwa pesa ngapi vyuoni..Huwa Wana DiplomaTA - 1.6m
Ni 1.9TA - 1.6m
Ni 1.9
PUTS 1.1 hii kwa university.
College labda ndio hio 1.6.
Yawezekana kweliLabda imepanda maana nna mshkaji anafundisha mzumbe moro.. mwaka jana aliniambia anakula 1.6 (kwa waliosoma bachelor za miaka 3) na 1.9 waliosoma bachelor za miaka minne na mitano (kama MD na engineers)
Baada ya makato unaondoka na hela ya mboga na chenji inabaki ingawa kadri unavyokuwa na hela ndivyo matumizi yanaongezekaLabda imepanda maana nna mshkaji anafundisha mzumbe moro.. mwaka jana aliniambia anakula 1.6 (kwa waliosoma bachelor za miaka 3) na 1.9 waliosoma bachelor za miaka minne na mitano (kama MD na engineers)
Hiyo mishahara mnayoitaja ni baada ya makato au kabla ya makato ?Labda imepanda maana nna mshkaji anafundisha mzumbe moro.. mwaka jana aliniambia anakula 1.6 (kwa waliosoma bachelor za miaka 3) na 1.9 waliosoma bachelor za miaka minne na mitano (kama MD na engineers)
Hapo ni kabla ya makato mkuuHiyo mishahara mnayoitaja ni baada ya makato au kabla ya makato ?
Poa poa mkuuHapo ni kabla ya makato mkuu
Hivi baada ya makato ( pamoja na makato ya bodi ya mikopo HESLB) hiyo 1.6m na 1.9m zinabakia shilingi ngapi ?Labda imepanda maana nna mshkaji anafundisha mzumbe moro.. mwaka jana aliniambia anakula 1.6 (kwa waliosoma bachelor za miaka 3) na 1.9 waliosoma bachelor za miaka minne na mitano (kama MD na engineers)
Mkuu wewe unamfahamu kuwa baada ya makato ( pamoja na makato ya bodi ya mikopo HESLB) hiyo 1.6m na 1.9m zinabakia shilingi ngapiKumbe kazi ya kizembe
Hivi baada ya makato ( pamoja na makato ya bodi ya mikopo HESLB) hiyo 1.6m na 1.9m zinabakia shilingi ngapi ?
Poa poa mkuu👍Mimi yule jamaa yangu alinionesha salary slip yake kama sio mwaka jana bas mwaja juzi
Kutoka 1.6m makato yote na HESLB alibakiwa na laki nane na kitu hivi kama sio 9 hivi
Sijajua now kama kuna mabadiliko, ila salary slip alinionesha nliona kwa macho yangu
1.9 karibia 800k nzima inakuwa wipe out na serikaliMimi yule jamaa yangu alinionesha salary slip yake kama sio mwaka jana bas mwaja juzi
Kutoka 1.6m makato yote na HESLB alibakiwa na laki nane na kitu hivi kama sio 9 hivi
Sijajua now kama kuna mabadiliko, ila salary slip alinionesha nliona kwa macho yangu
Nadhani wa 1.9 anafika kwenye 9+ to M, maana hapo jamaa kapigia mahesabu wa 1.6 ndo akafika kwenye 800k - 900k, na naskia mwaka huu kulikuwa na nyongeza ya mishahara ya 23% kama sikosei, sio mtaalamu wa kucalculate but nadhani kama ikiwa applied kwa huyo wa 1.6 na huyo wa 1.9 maybe wanaweza fika M to M+(I'm just assuming/thinking)1.9 karibia 800k nzima inakuwa wipe out na serikali
1.9 karibia 800k nzima inakuwa wipe out na serikali
ututorial kazi ya kizembe tu, watu eGA wanakula 2.6M unasemea hiyo 1.6MBado huo mshahara sio mbaya sana ukiangalia na mazingira ya kazi ya u tutorial yalivo... Kuna vihela vingi vya research halafu mi naona ni kazi ambayo mtu una uhuru sio kama hizi kazi za kusimamiwa na mabosi...