Mshahara wa polisi

Mshahara wa polisi

abunerimgaya

Member
Joined
Nov 13, 2012
Posts
78
Reaction score
15
iv ndugu zangu
polisi wanalipwaga tsh ngapi?
Maana leo nimepita Bank ya Nmb nimekuta polisi ameganda kasimama kama yale masanamu wanayovalishaga nguo
haangalii kushoto wala kulia.
 
Ndo ukaona uje kuuliza huku jf,una umri gani kwanza?
 
iv ndugu zangu
polisi wanalipwaga tsh ngapi?
Maana leo nimepita Bank ya Nmb nimekuta polisi ameganda kasimama kama yale masanamu wanayovalishaga nguo
haangalii kushoto wala kulia.

Una umri gani we mleta mada?sorry umebalehe lini?
 
Police ambaye ni Graduate anaanza kwa kulipwa
TSH. 640100...!
 
Usidharau kazi ya mtu ata siku moja regardless una umri gani ,ukishajua ndo utafanya nn! Cku nyngine uhulize vizuri cyo kwa kutumia masaburi
 
Usidharau kazi ya mtu ata siku moja regardless una umri gani ,ukishajua ndo utafanya nn! Cku nyngine uhulize vizuri cyo kwa kutumia masaburi
Kwa vyovyote vile we ni insanity tu,what is your logic ?
How if you could be told/informed that their starting salary is from 1m,could you remove feelings of some1?
Sasa kwa uelewa wako we unadhan ni kazi gani ukiifanya unalipwa na kukuondolea mawazo ya maisha na mipango yako yote.
 
iv ndugu zangu
polisi wanalipwaga tsh ngapi?
Maana leo nimepita Bank ya Nmb nimekuta polisi ameganda kasimama kama yale masanamu wanayovalishaga nguo
haangalii kushoto wala kulia.

Kakojoe ukalale! peleka uharisho wako kwa mamako!
 
iv ndugu zangu
polisi wanalipwaga tsh ngapi?
Maana leo nimepita Bank ya Nmb nimekuta polisi ameganda kasimama kama yale masanamu wanayovalishaga nguo
haangalii kushoto wala kulia.

Mwenzio akitoka lindo anasign alf10 kila siku na anaposho ya mazingira magumu kila mwezi na bado analipwa ration allowance! Na mshahara upo! We unalipwaje? Au babayako analipwaje?
 
Acheni uongo mi nlikuwa ni graduate nimetoroka mshahara ni 567000 bla makato posho laki na hamsin waweza kupata au usipate
 
mm cjaelewa maana ya mleta thread hii analipwa mshahara kwa kigezo kip
kuwa yupo lindo akiwa siriaz kwenye kazi
au umeuliza lengo unataka kuwa police
usidhalau mtu kwa kazi yake maana ya kwako haimsaidii
hata analipwa kidogo anaridhika nacho
 
mshahara wa majeshi yote unatolewa kwa wakati mmoja hakuna mwezi ambao posho ya askari hapewi acha kutudanganya
 
Back
Top Bottom