hii tabia ya kuuliza mishahara hapa JF imekuwa sugu sasa,wote tunajua kuwa mishaara ni siri yako! kama umeomba kazi subiri uitwe kwenye usahili ndo uulize hapa si sehemu sahii ya kupata taarifa unless kama ni mishahaara ya serikali ambayo madaraja yake yanajulikana