twafa-kali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 251
- 211
Kwa public servants..Kuna yeyote aliyenusa tayari mshahara wa mwezi huu. ???
Unadaiwa nini mzee ? Mbona sio tarehe zake mkuu? Huwa around 23Kwa public servants..Kuna yeyote aliyenusa tayari mshahara wa mwezi huu. ???
Umesema kweli wallahiTuacheni utani maisha haya ukitegemea tu mshahara utaishia kukopa kila siku.
Na biashara nyingi saiv ndugu yangu sio kama kipindi kile cha JK hazitoki.Tuacheni utani maisha haya ukitegemea tu mshahara utaishia kukopa kila siku.
Kadri miezi inavyozidi kusonga mbele ktk awamu hii utadhani mishahara nayo inapungua. Kama mwezi uliopita ilikuwa inakufikisha siku 20. .mwezi ujao hazifiki hizo siku.
Haya Uncle Magu tutumbukizie hiyo salary tukamlipe Deni lake Mangi tuanze tena kukopa.
Acha utani mkuu, yaani mapato yote haya wanayokusanya hakuna?Nipo na payroll hapa no increment means no mabadiliko
Mbaazi this year.Na biashara nyingi saiv ndugu yangu sio kama kipindi kile cha JK hazitoki.
Ndo kwanza nyingi zinafungwa.
Kilimo unless uwe na mtaji mkubwa ili uweze kudiversify ktk zaidi ya zao moja ili ikifeli zao moja either kwa soko bovu au sababu nyingine basi zao lingine likubebe. Lasivyo ukienda kichwa kichwa kuna hatari ya kuangukia pua kama kilimo cha nyanya ilivyokuwa last year
Mbaazi 1kg=300Mbaazi this year.
Na korosho nazo hazizid 1500/-
Walau zimepanda,zilikua 150/- kusini.Mbaazi 1kg=300
miezi mingine hata tarehe 20 KiongoziUnadaiwa nini mzee ? Mbona sio tarehe zake mkuu? Huwa around 23