Nadhani hela yote imepelekwa kumpokea Obama, yani nchi za Afrika na hasa Tanzania sijui kwanini malimbukeni namna hii. Hivi huyu Obama ndio nani? Yani mimi uwa nakereka sana, mijitu ni midhaifu sana, yani Obama anakuwa kama Mungu bana. Tunataka mishahara yetu please!!