Mumu huu huonevi jaman khaaaaahKila mmoja asimame katika nafasi yake(wake kwa waume).
[emoji23][emoji23][emoji23]ndio hivyo sasa Ambiele,.ndio maana nikasema kuwa tusimame kwenye nafasi zetu,..hayo mengine ni changamoto ndogo-ndogo tuu[emoji16]Mumu huu huonevi jaman khaaaaah
Kwan pale kanisan si ulikula kiapoo
Tutaish katika shida na raha....
Ah ah h kama umetoa luksa ya kushare mwil mmoja na mumewe y una kwikwi katika mshahala wako...?[emoji23][emoji23][emoji23]ndio hivyo sasa Ambiele,.ndio maana nikasema kuwa tusimame kwenye nafasi zetu,..hayo mengine ni changamoto ndogo-ndogo tuu[emoji16]
Na mwanamke asiyejitambua?Mshahara wa mwanamke haudaiwi mwanaume kaa kwenye nafasi yako mke anajitambua atajiongeza tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mm hilo kwangu si tatizo at all,.madhali nimempenda my honey-hubby changu chake,chake changu basiiii hakuna cha ziada,ni kufurahia maisha tuu,.[emoji12]Ah ah h kama umetoa luksa ya kushare mwil mmoja na mumewe y una kwikwi katika mshahala wako...?
Na mshahala tushee tuuu hakuna namna
Mm hilo kwangu si tatizo at all,.madhali nimempenda my honey-hubby changu chake,chake changu basiiii hakuna cha ziada,ni kufurahia maisha tuu,.[emoji12]
exactly, yani mimi jamani mume wangu hata hajui ninapata sh. ngapi na hajawahi kuuliza na nikiwa na shida ya pesa nikimwambia kama ipo ananipa na wala hauulizi kwamba wangu nimepeleka wapi. Hivyo ndivyo mwanaume anatakiwa kuwa, majukumu ya kutunza nyumba na mke ni ya baba mimi kama wanamke kuchangia ni ziada tuMshahara wa mwanamke haudaiwi mwanaume kaa kwenye nafasi yako mke anajitambua atajiongeza tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]