Kwanza inabidi ujue kuwa kuna walimu wa MoEVT na TAMISEMI, pili inabidi ujue kuwa wale walimu wa vyuo wanaanzia na ngazi hiyo ya mshahala kwa sababu wao wanafundisha ujuzi na utendaji ataoenda kufanya mhitimu ( kwa ufupi wachuo wanaandaa "proffesionals") wa kwenda makazini, mfano : mwalimu wa diploma akimaliza anakuwa mwalimu mwenye sifa na ujuzi wake tofauti na mwalimu wa sekondari anayemuandaa mwanafunzi kwa masomo ya kwenda kujiunga na ngazi anayofundisha mwenzake wa chuo. kwa ufupi tu ni hayo.Mwalimu mwenye shahada ya kwanza akiajiriwa shule ya sekondari huitwa AFISA ELIMU DARAJA LA PILI na huanzia na ngazi ya TGTSD sh. 532000= wakati kiwango hichohicho cha elimu akiajiriwa ktk chuo cha ualimu huitwa MKUFUNZI na huanza na mshahara wa TGTSE sh.740000= Je, serikali sikivu ya CCM ina2mia vigezo gani kuwalipa waalimu wenye kiwango kimoja cha elimu mishahara tofauti??
Mwalimu mwenye shahada ya kwanza akiajiriwa shule ya sekondari huitwa AFISA ELIMU DARAJA LA PILI na huanzia na ngazi ya TGTSD sh. 532000= wakati kiwango hichohicho cha elimu akiajiriwa ktk chuo cha ualimu huitwa MKUFUNZI na huanza na mshahara wa TGTSE sh.740000= Je, serikali sikivu ya CCM ina2mia vigezo gani kuwalipa waalimu wenye kiwango kimoja cha elimu mishahara tofauti??
Kwanza inabidi ujue kuwa kuna walimu wa MoEVT na TAMISEMI, pili inabidi ujue kuwa wale walimu wa vyuo wanaanzia na ngazi hiyo ya mshahala kwa sababu wao wanafundisha ujuzi na utendaji ataoenda kufanya mhitimu ( kwa ufupi wachuo wanaandaa "proffesionals") wa kwenda makazini, mfano : mwalimu wa diploma akimaliza anakuwa mwalimu mwenye sifa na ujuzi wake tofauti na mwalimu wa sekondari anayemuandaa mwanafunzi kwa masomo ya kwenda kujiunga na ngazi anayofundisha mwenzake wa chuo. kwa ufupi tu ni hayo.
Kunifahamu au kuto nifahamu sio hoja iliyopo hapa , inaonekana hujui maana ya mdahalo. inamaana kwa akili zako zote mtu akishakuwa darasa la saba ndo alipwe kidogo, kwahiyo huyo msomi unayemtaka wewe anaishi peponi au wapii??? think twice mdau, hebu jipange kwanza kwani hoja zako hazina mashiko kama umekurupushwa shimoni. kasome secula ya elimu Tanzania inasemaje, kisha ndo uje jamvini.sijakufahamu kabla, lakni nishakujua huna hoja kabisa, unajua maana ya shallow, ndio wewe.
hivi unajua BED EDUC haina lolote? kwa sisi ambao sio walimu lakini tunajua hizi nafasi. BED EDUC-aka mkufunzi, hana wigo, kinachoendelea nchini ni kukosa ufahamu wa kutenda haki. Ndio maana kuna wabunge darasa la saba wanalipwa mili 10,
ok, sijui kila kitu naomba secular hapa, na nieleweshe maana ya debate, na nielekeze jinsi ya kupanga, na nieleweshe prof anapaswa alipweje? then come againKunifahamu au kuto nifahamu sio hoja iliyopo hapa , inaonekana hujui maana ya mdahalo. inamaana kwa akili zako zote mtu akishakuwa darasa la saba ndo alipwe kidogo, kwahiyo huyo msomi unayemtaka wewe anaishi peponi au wapii??? think twice mdau, hebu jipange kwanza kwani hoja zako hazina mashiko kama umekurupushwa shimoni. kasome secula ya elimu Tanzania inasemaje, kisha ndo uje jamvini.
ok, sijui kila kitu naomba secular hapa, na nieleweshe maana ya debate, na nielekeze jinsi ya kupanga, na nieleweshe prof anapaswa alipweje? then come againKunifahamu au kuto nifahamu sio hoja iliyopo hapa , inaonekana hujui maana ya mdahalo. inamaana kwa akili zako zote mtu akishakuwa darasa la saba ndo alipwe kidogo, kwahiyo huyo msomi unayemtaka wewe anaishi peponi au wapii??? think twice mdau, hebu jipange kwanza kwani hoja zako hazina mashiko kama umekurupushwa shimoni. kasome secula ya elimu Tanzania inasemaje, kisha ndo uje jamvini.
ok, sijui kila kitu naomba secular hapa, na nieleweshe maana ya debate, na nielekeze jinsi ya kupanga, na nieleweshe prof anapaswa alipweje? then come again
then pitia hizi nyuzi upya, unipe jibu
- Topic: Mshahara wa mwalimu mwenye shahada
by MeinKempf
Replies9Views143
News Alert:Re: Mshahara wa mwalimu mwenye shahada
Kunifahamu au kuto nifahamu sio hoja iliyopo hapa , inaonekana hujui maana ya mdahalo. inamaana kwa akili zako zote mtu akishakuwa darasa la saba ndo alipwe kidogo, kwahiyo huyo msomi unayemtaka...- Today, 11:44
Topic: MSAADA: Mama kabadilika baada ya kuwa Mlokole
by MeinKempf
Replies39Views526
Re: MSAADA: Mama kabadilika baada ya kuwa Mlokole
Wengi wao ni FANATIC tu hawajui mbele wala nyuma kwa imani zisizo na mwelekeo kwa kutumia msemo usemao " IMANI NI KUAMINI YALE USIYYAONA....." na wengi wao wanjifanya kuwa wao ni "MOVING...- Today, 11:27
Topic: Automatic teller machine (atm) za bongo zina kera sana
by MeinKempf
Replies1Views15
Automatic teller machine (atm) za bongo zina kera sana
Hivi benki za hapa nchi kwetu zinanunua ATM mtumba au vipi? kwa sababu wanatuibia sisi wananchi kwa kutoweka pesa kwenye mashine husika ndani ya muda mwafaka pindi zinapoisha au kupungua kana kwamba...- Today, 10:06
Topic: Mshahara wa mwalimu mwenye shahada
by MeinKempf
Replies9Views143
News Alert:Re: Mshahara wa mwalimu mwenye shahada
Kwanza inabidi ujue kuwa kuna walimu wa MoEVT na TAMISEMI, pili inabidi ujue kuwa wale walimu wa vyuo wanaanzia na ngazi hiyo ya mshahala kwa sababu wao wanafundisha ujuzi na utendaji ataoenda...- Today, 09:56
Topic: Walimu mmmmmmmmmmmmpo?
by MeinKempf
Replies3Views133
Re: Walimu mmmmmmmmmmmmpo?
Hizo ni hadithi za sungura mjanja kwani Bwana MKOBA ashabeba chake kwenye mkoba na kaamsha, maticha mkaze buti usawa huu.- Today, 09:52
Topic: Kirefu cha MAU MAU
by MeinKempf
Replies9Views200
Re: Kirefu cha MAU MAU
Natumai kuwa utakuwa unafahamu pia maana ya JOMO KENYATA, naomba jibu tafadhari.- Today, 09:49
Topic: Msaada Tutani:CASTE FOR SLAVE TRADE
by MeinKempf
Replies0Views20
Msaada Tutani:CASTE FOR SLAVE TRADE
Why did the slavers carried red-flags :canada: during their caravan routes ??- Today, 09:33
Topic: Msaada Tutani:CASTE FOR SLAVE TRADE
by MeinKempf
Replies0Views8
Msaada Tutani:CASTE FOR SLAVE TRADE
Msaada Tutani "Why did the slavers carried the red-flags during the salve trade while passing via caravan routes "?.- Today, 09:19
Topic: Kirefu cha MAU MAU
by MeinKempf
Replies9Views200
Re: Kirefu cha MAU MAU
Hakika kua uyaone, ila sio magorofa. Huyu jamaa nahisi alisoma kipindi elimu ilipokuwa elimu
, yaani enzi za mwalimu na mzee jomo kenyata.- Yesterday, 12:46
Topic: Mara ya kwanza!...
by MeinKempf
Replies26Views1,334
Re: Mara ya kwanza!...
Malizia...Mtihani usio na mtaala wala mwalimu- Yesterday, 12:30
Topic: muongozo wa elimu ya tanzania
by MeinKempf
Replies3Views91
Re: muongozo wa elimu ya tanzania
:canada::hatari: Mimi mwenyewe nina rafiki yangu wa karibu tu kasomea mambo ya sera , mipango na uongozi katika elimu( bachelor of education in policy,planning and management) katika chuo fulani...