Mshahara wa Katibu Muhtasi

Mshahara wa Katibu Muhtasi

sergey

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
217
Reaction score
55
Ningependa kufahamishwa kima cha mshahara kwa fani ya makatibu muhtasi
iwe sekta ya umma na private.natanguliza shukran zangu
 
TGS C kwa private haina kiwango maalum inatofautiana kati ya taasisi moja adi nyingine.
 
Ningependa unifafanulie ndugu yangu hyo TGS C inanzia kias gani kaka?
 
Katibu muhtasi (office/pesrsonal secretary) anaanza na TGS B na wala sio C,yaan ni sh 251,400/=
 
Nenda private. mi nawajua masecretari katk benki moja wanalipwa vizuri kuliko bank tellers wanalipwa mpaka 1m
 
Ningependa unifafanulie ndugu yangu hyo TGS C inanzia kias gani kaka?

kwa upande wa ajira za utumishi wa umma kama una Dip, salary scale ni TGSC1 ambapo gross salary ni TSh. 351,200 lakini kama ni Cert, salary scale ni TGSB1 ambayo gross salary ni TSh. 251,200. Je, kuna swali ingine?????
 
haya tunaomba mshahara wa wakurugenzi wa wizara na katibu wa wizara huwa wanalipwa kiasi gani coz taarifa zako nimezipenda
 
Back
Top Bottom