inawezekananje ukafikiria kuacha huko uliko bila hata ya kupewa mkataba na hao BOT ambao una kiasi cha mshahara ndani yake? hebu fanya subira ukishapewa offer ndio uhamue mwenyewe na pia kazi si mshahara peke yake kuna vitu vingi inatakiwa uvitilie maanani kama benefits, nafasi za kusoma, carrier development, fursa za kujifunza vitu vipya, matibabu, assurance ya kazi, marupurupu, posho n.k