Mshahara wa Clement Mzize

Mshahara wa Clement Mzize

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,554
Reaction score
57,848
Wakuu nimeambiwa mshahara wa Clement Mzize ni Milioni 40 kwa Mwezi

Ndiye mchezaji ghali zaidi Tanzania?
Hongera Ghalib Said Mohamed (GSM),

Pia Mtangazaji wa Azam TV, Mzinga jana alidokeza hivyo.

Kama ni hivyo hongera sana kwa wachezaji wazawa sasa mpira unalipa.

1758089122979.png
 
Wakuu nimeambiwa mshahara wa Clement Mzize ni Milioni 40 kwa Mwezi

Ndiye mchezaji ghali zaidi Tanzania?

Nimemsikia pia Ghalib Said Mohamed (GSM), Mtangazaji wa Azam TV, Mzinga jana alidokeza hivyo

Kama ni hivyo hongera sana kwa wachezaji wazawa sasa mpira unalipa.
Ni lazima iwe hivyo, maana jamaa alitaka kutimka tukamzuia, ili kuondoa lawama inabidi ale vizur isiwe kesi, maana hata huko wanapo taka kwenda wanafata pesa...
 
Ila akaze msuli. Kwa kiwango alichokionesha jana, tena akianzia nje! Siyo dalili nzuri kwa mchezaji ghali.

Amuangalie Kylian Mbape wa Real Madrid anavyopambana uwanjani kuhakikisha anafunga kila mechi! Ile ndiyo inavyotakiwa kwa mchezaji ghali kwenye klabu! Na siyo unakimbia kimbia tu uwanjani.
 
Mzize Hana kiwango hcho, sema ndo kama uingereza tuu mzwa anapewa pesa mingi hata kama ni gharasa
 
Back
Top Bottom