Rachan Senior Member Joined Sep 17, 2016 Posts 193 Reaction score 135 Mar 22, 2017 #21 Usiwaje kuajiliwa utakufa masikini karibu civil engineer uku hakuna kemcho kemcho work (ubashite) maana utaumbuka me nipo chuo mwaka wa mwisho diploma
Usiwaje kuajiliwa utakufa masikini karibu civil engineer uku hakuna kemcho kemcho work (ubashite) maana utaumbuka me nipo chuo mwaka wa mwisho diploma
H hilker mhema Member Joined Mar 20, 2017 Posts 81 Reaction score 23 Mar 22, 2017 #22 naomba unisaidie na vipi kuhusu electric engineering rachankipi ni chuo kizuri cha diploma hiyo na je kazi unapata
naomba unisaidie na vipi kuhusu electric engineering rachankipi ni chuo kizuri cha diploma hiyo na je kazi unapata
P Pest JF-Expert Member Joined Mar 22, 2014 Posts 216 Reaction score 144 Mar 22, 2017 #23 2in1 said: Hv jman civil eng analpw kiac gn kwa mwez Click to expand... Specify serikalini au private mishahara ni tofauti lakini kwa serikalini fresha wanaanza na TGS E ,kwenye laki tisa naa(halmashauri) ,but kwa mshirika ya umma ya serikalini ni zaidi ya apo
2in1 said: Hv jman civil eng analpw kiac gn kwa mwez Click to expand... Specify serikalini au private mishahara ni tofauti lakini kwa serikalini fresha wanaanza na TGS E ,kwenye laki tisa naa(halmashauri) ,but kwa mshirika ya umma ya serikalini ni zaidi ya apo