A Akasankara JF-Expert Member Joined Feb 28, 2015 Posts 4,268 Reaction score 5,815 Apr 21, 2017 #61 Kuna jamaa yangu hapa yupo anasheherekea sijui wametoa? leo tusiokuwa na mshahara tutakoma
Geniustin JF-Expert Member Joined Mar 15, 2013 Posts 4,380 Reaction score 2,843 Apr 21, 2017 #62 mapupu said: Haya kaangalieni tayari Click to expand... Asante Mzee, Nimeiona. Magu katisha sana.
S sandemlondoy New Member Joined Mar 17, 2017 Posts 3 Reaction score 1 Apr 21, 2017 #63 jamani kwani hadi leo bado haujatoka? watu tumefulia vibaya
M mapupu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 248 Reaction score 213 Apr 21, 2017 #65 Geniustin said: Asante Mzee, Nimeiona. Magu katisha sana. Click to expand... Mzee anawajali wafanyakazi mi naami siku si nyingi mtafurahi.
Geniustin said: Asante Mzee, Nimeiona. Magu katisha sana. Click to expand... Mzee anawajali wafanyakazi mi naami siku si nyingi mtafurahi.
Geniustin JF-Expert Member Joined Mar 15, 2013 Posts 4,380 Reaction score 2,843 Apr 21, 2017 #66 mapupu said: Mzee anawajali wafanyakazi mi naami siku si nyingi mtafurahi. Click to expand... Wacha Tuombe Mungu iwe hivyo...Maaana Duuh! Mwaka Unaisha, hajaongeza hata Senti
mapupu said: Mzee anawajali wafanyakazi mi naami siku si nyingi mtafurahi. Click to expand... Wacha Tuombe Mungu iwe hivyo...Maaana Duuh! Mwaka Unaisha, hajaongeza hata Senti
milioni milioni JF-Expert Member Joined Mar 25, 2013 Posts 1,845 Reaction score 1,064 Apr 21, 2017 #67 Watoe Hata Tar 5 Kila Mwezi Hakuna Nyongeza Kitu Kilekile
S sandemlondoy New Member Joined Mar 17, 2017 Posts 3 Reaction score 1 Apr 21, 2017 #68 Jamani mwenzenu nilikuwa nmepoteza laini ya voda sasa nikaenda kurenew. je wanaweza kuirudisha ile ya awali? nikaachana na hii mpya. maana nimepoteza details nyingi sana. Anae jua naomba msaada jaman
Jamani mwenzenu nilikuwa nmepoteza laini ya voda sasa nikaenda kurenew. je wanaweza kuirudisha ile ya awali? nikaachana na hii mpya. maana nimepoteza details nyingi sana. Anae jua naomba msaada jaman
1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 9,969 Reaction score 13,848 Apr 21, 2017 #69 mpenda pombe said: Watu wabishi Sana.. Nipo na jamaa yangu anatandika bapa hapa.. Mshahara tayari. Click to expand... Loh
mpenda pombe said: Watu wabishi Sana.. Nipo na jamaa yangu anatandika bapa hapa.. Mshahara tayari. Click to expand... Loh
mpenda pombe JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 1,410 Reaction score 722 Apr 21, 2017 Thread starter #70 Geniustin said: Asante Mzee, Nimeiona. Magu katisha sana. Click to expand... Mod wameleta kwenye chit chat utafikiri taarifa za uongo...
Geniustin said: Asante Mzee, Nimeiona. Magu katisha sana. Click to expand... Mod wameleta kwenye chit chat utafikiri taarifa za uongo...
Geniustin JF-Expert Member Joined Mar 15, 2013 Posts 4,380 Reaction score 2,843 Apr 26, 2017 #71 mpenda pombe said: Mod wameleta kwenye chit chat utafikiri taarifa za uongo... Click to expand... Noma sana.
mpenda pombe said: Mod wameleta kwenye chit chat utafikiri taarifa za uongo... Click to expand... Noma sana.