Sa hapo uliponambia tulia nani kamwambia nacheza sindimba au Mdumange?? maana ngoma ya Sindimba au Mdumange ndo mchezaji huwa hatulii......... au ulimaanisha Tulia Ackson?
Nashukuru watakiwa hata kama unapokeaa laki tano unaweza ukahakikisha unajibanaa uwe wapika nyumban ndani ili kubana matumizi na usiwe mtu wa starehe sanaa ukipata laki tano akiba weka laki tatu jibane kama miezi sita hiv ukiwa na milion mbili tafuta biashara ambayo itakuingizia kama 50000 mpaka 70000 kwa week ukiipata hiyo unakuwa unatumiaa kula hela hiyo ,na mshahara wa laki tano ukiingiaa unaiachaa benk labda unaweza kutoa 50000 tu na 450000 inabaki utaenda na kupata biashara ni nyngne na misho wa siku unajikuta kila mwezi akiba inabaki laki saba
Hata mimi ni mtumishi wa umma, bado hazijaingia, nacheka hao TUCTA na huo "ufagio" waliompa JPM kwani katujali kwa lipi tokea alivyoingia, hata mia hajaongeza, zaidi ni vurugu za uhakiki zisizoisha kila siku!!!