Mshahara ninaopata nagawana na Mke wangu pasu kwa pasu

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,725
Reaction score
13,747
1. Milioni moja ndio mshahara wangu, nagawana na mke wangu pasu kwa pasu, atajua mwenyewe anaufanyia nini.

2. Nahudumia familia yangu bila kujali pesa ya mke wangu.

3. Najisikia raha sana kuwa nagawana mshahara na mke wangu, kwani mimi ni sehemu ya maisha yake.

4. Ushauri wangu kwenu Wanaume, gawaneni mishahara na wenza wenu!
 
1. Milioni moja ndio mshahara wangu,nagawana na mke wangu pasu kwa pasu, atajua mwenyewe anaufanyia nini. 2. Nahudumia familia yangu bila kujali pesa ya mke wangu, 3. Najisikia raha sana kuwa nagawana mshahara na mke wangu,kwani mimi ni sehemu ya maisha yake. 4. Ushauri wangu kwenu wanaume, gawaneni mishahara na wenza wenu!
songa mbele sasa gentleman, huna haja ya kubabaika na wafanyavyo wengineo kwa wenza wao,

jitahidi geuka yako nyuma isijekua ndio adui yako, majukumu yanaongezeka kadidiri muda unavyosonga.
ni vyema kujipanga zaidi ya hapo :HAhaa:
 
Mamayako na babayako wanapata nn?

Acha ujinga,

lazima 10% ya mshahara wako iende kwa wazazi wako,

30% iende kwenye development (both soft kama elimu yako au watoto, au hard investment kama viwanja, Nyumba, bonds au serving)

50% ndo iwe ya matumizi (hii ndo mnagawana na mkeo)

The remaining 10% ndo inakuwa emergency funds aus social life kama msiba, sherehe, kusaidia mke n.k
 
Mkuu hebu weka vizuri hii mgawanyo!
 
1. Milioni moja ndio mshahara wangu,nagawana na mke wangu pasu kwa pasu, atajua mwenyewe anaufanyia nini.

2. Nahudumia familia yangu bila kujali pesa ya mke wangu,

3. Najisikia raha sana kuwa nagawana mshahara na mke wangu, kwani mimi ni sehemu ya maisha yake.

4. Ushauri wangu kwenu wanaume, gawaneni mishahara na wenza wenu!
Utoto raha sana.
 
Chai
 
Wangu kama ataweza kubeba mshahara wa dhambi. Tugawane
 
1. Milioni moja ndio mshahara wangu,nagawana na mke wangu pasu kwa pasu, atajua mwenyewe anaufanyia nini.

2. Nahudumia familia yangu bila kujali pesa ya mke wangu,

3. Najisikia raha sana kuwa nagawana mshahara na mke wangu, kwani mimi ni sehemu ya maisha yake.

4. Ushauri wangu kwenu wanaume, gawaneni mishahara na wenza wenu!
Kama ni mchagga...kuna uwezekano wa kufanikiwa sana kimaisha...
Yuko rafiki yangu tulifanya nae kazi Relwe zamani.....ni mtu wa kanda ya ziwa,,,,,,mkewe mchagga...alikuwa anagawa vivyo hivyo kwa mkewe.......miaka nenda rudi,,,siku tuna staafu,,,mkewe akamfanyia sapraizi wakahamia kwenye bonge la jumba...na haikuwa hiyo tu,,,,alikuwa na fremu kadha wa kadha katika hiyo wilaya.
 
Back
Top Bottom