kuanzia elfu 80 mpaka mil.30 kwa maoni yangu. ni kutokana na kazi, uzoefu, hadhi ya ofsi n.k . Labda ubadili swali lako maana akili za watu ni kama google unavobadili swali ndo majibu yanavobadilika. Weka swali lako vizuri upate jibu sahii.Gudtym.

Siku hizi mishahara ya kibongo inatofautiana pia ki-sekta; ukiwa sekta ya Madini na Afya ukiwa na-stashahada usishangae ukaanza na laki 2.5 adi laki 3, sekta zingine kwakweli kwa stashahada ni utata.
Kwa maisha ya siku hizi kila kitu kimepanda mishahara mbona awaongezei ndio maana ufisadi hauishi,naona serikali ikiongeza mishahara ufisad utapungua kama siyo kuisha.mf.wilaya moja ya CHATO wamechakachua vocha za pembejeo zote watendaji wa vijiji na DALDO,hiyo yote mishahara midogo,naomba mchuguze wilaya hiyo itaendelea?