Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?

Hivi haujui kwamba mshahara ndiyo unaendesha maisha yake na familia? Acha unafiki. Unajua nyumbani kwake kama ana akiba au laa? Angekuja kukukopa ungemsimanga na kumtangaza. Kimfaacho mtu chake, elewa.
Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
Wewe unalipwa posho kamshahara kanajikalia benki mpaka basi, yeye halipwi posho kamshahara ka mwezi wa 6 kalijiishia tarehe 3 ya mwezi wa 7, sasa unataka awe kama wewe! Hao wanafunzi mwalimu akikosekana wanafurahi waache watoto wainjoi.