Mshahara haukidhi mahitaji

Nahisi huyo askari/mgambo atakuwa kamnyang'anya mchuuzi wa matunda hiyo biashara kwa madai kuwa anafanya biashara kwenye eneo lisilo husika, hajalipa ushuru au anaeneza kipindupindu!!!
 
Hivi ndivyo ilivyo kabisaa!! Uo ni mtaji wa mtu umeshataifishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…