Ndugu zangu mimi nakelwa sana na msg za promo zinazotumwa na hawa jamaa hasa hawa tigo na zantel, na hata voda na zain nao wanaiga sasa, naona kwao zinalipa sana. sijui wenzangu mnazionaje?

Zinakera mno alaf zinajaza nafasi kwenye simu zetu,kibaya zaidi zinatumiwa kila siku badala ya kutuma kwa muda fulani kama mwezi moja kwa mara moja au mara mbili kuliko kila siku.Wapunguze kutuma mara kwa mara!!!
If you happen to receive it just ignore it, do not spread by sending it. This people are creating those threads to meet their plans. as it is shared widely they earn more money!!!