mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
Hafilisiki mkuu."masikini afirisiki"
Jamaa sijui aliwaza nini...
Eti afirisiki, yani mimi nachukiaga, ina maana hawa watu wanaoandika hivi hawakufika hata darasa la pili? Yaani hawakufundishwa a e i o u, ha he hi ho hu"Afirisiki" maana yake nn??