Msemo 'Mtoto ni nyoka' ulilenga nini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,412
Reaction score
127,499
Wa Nyoka Ni Nyoka", Ulilenga Nini Haswa? Nauliza Kwakuwa Nimekuwa Nikiwafuatilia Watoto Wengi Mno Wa Wakubwa au Watawala Wetu Mbalimbali Hapa Tanzania Lakini Cha Kushangaza Wengi Wao Huo Msemo Haufanani Nao Tena Wako Nao Mbali Mbali.Je Ni Kwanini? Na Waliotunga Huu Msemo Walikuwa Na Maana Gani? Kwahiyo Mnataka Kumaanisha Hata Mwanangu Junior Baby Gentamycine Nae Atakuwa CHAKARAMU Na MTUKUTU Kama Baba Yake?

Wataalam Wa Misemo, Wanasaikolojia Na Wajuzi Wa Masuala Haya Ya Kijamii Karibuni Ktk Kuelimishana Na Nitashukuru Kwa Michango Yenu.

Nawasilisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…