TANZIA Msemaji wa M23, Willy Ngoma auawa kwa shambulio la Droni

The End Of Era!! Tutegemee kuona mengi baada ya bepari kupewa ruksa pale Kongo. Mr PK its time to walk by three eyes two are not eneough. They call them drones KAMIKAZE
 
Banyamurenge sio wakimbizi, wako pale kabla Congo haijazaliwa, ni siasa za kipumbavu na ukabila za viongozi wengi wa Africa ndio maana millions of people wanakufa kwa kitu kinachozuilika kirahisi sana
 
ndio m23 wahame toka vita mwituni wajiboreshe angani viongozi wao watadonolewa mmoja baada ya mwingine rejea wakuu wa ugaidi
Wajiboreshe angani kwa kutumia nini, nani state actor atawauzia silaha kwa sheria za kimataifa. Sema hivi waboreshwe, sio wajiboreshe.

Lilipoenda jeshi la SADC kuna gari la wanajeshi wa South Africa likapigwa na Spike ATGM ya Israel, wakati inajulikana ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati tena ikiwezekana Afrika nzima walionunua Spike ATGM ni Rwanda pekee. Kundi likipigwa linafika mpaka na Rwanda linafifia haijulikani limeenda wapi, ghafla linaibukia mpaka na Rwanda linaanza mashambulizi. Mara silaha zinapitia Uganda.

Itoe Rwanda au nenda mpaka wa Rwanda na DRC funga zuia biashara zote na kitu chochote kupita, kubali hasara ya kiuchumi uone M23 ambavyo hawakuwa peke yao.
 
nakili ,waboreshewe
 
Kuna hii chuma ilizunguka sana juzi jumanne kwa nlihisi tu so bure Kuna jambo ingawa siwezi sema moja kwa moja USA anahusika
 
Attachments

  • IMG-20260226-WA0000.jpg
    39.6 KB · Views: 2
Banyamurenge sio wakimbizi, wako pale kabla Congo haijazaliwa, ni siasa za kipumbavu na ukabila za viongozi wengi wa Africa ndio maana millions of people wanakufa kwa kitu kinachozuilika kirahisi sana
Nyarugusu huko kuna wakimbizi hata kabla Tanzania haijazaliwa,banyamulenge sio wacongo hata ww unajua wale jamaa asili yao ni wapi
 
Nyarugusu huko kuna wakimbizi hata kabla Tanzania haijazaliwa,banyamulenge sio wacongo hata ww unajua wale jamaa asili yao ni wapi
Huoni kama ni makosa kuwanyima uraia hao watu wa nyarugusu, na educate yourself about banyamulenge maana unachoandika sio kweli
 
Huoni kama ni makosa kuwanyima uraia hao watu wa nyarugusu, na educate yourself about banyamulenge maana unachoandika sio kweli
Tuwape uraia halafu yatokee kama ya congo,unawajua watutsi kweli ww!pale rwanda kwenye population ya 12 milioni tutsi ni 3 mln tu,ila unaona wanachowafanyia makabila mengine!nyerere aliiona mbali sana
 
Inaonekana una issue na watutsi au huelewi hata kilichotokea Rwanda kabla ya genocide,akili kama zako ndio maana vita haziishi Africa, kina Kagame wangeogopa au kusikiliza watu kama wewe leo wangekuwa wanaishi makambini, M23 lazima washinde ili amani ya kweli ipatikane Congo
 
Hvi huyu mwamba kafa kweli au wanatuzuga tu. Hawa wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…