Drone zishaingia africa? Basi waje na hukuTayari huko, si wameshampa eneo Mmarekani achimbe madini. Drone zitawahusu sana hao warangirangi.
Drone zishaingia africa? Basi waje na huku
Hivi Rtd presdaa Joseph kabila walizusha kafa, kuna ukweli wowote?Mzee, U.S ana kambi kibao Afrika humu.
Wabaki huko hukoDrone zishaingia africa? Basi waje na huku
Nimetikia wito Mkuu, naona sasa ndio vita itaiva vizuri, Mmarekani atakua anatoa code kwa Jeshi la Congo
Ukijiua inakuuaKuna chip inasubiriwa kutoka NVIDIA, itawezesha drone kuwa na AI na kujiendesha, haitohitaji tena controller, hata kama kuna jammers za kukata mawasiliano eneo hilo hazitoweza kuidhibiti maana inajiendesha kwa akili zake haitegemei mawasiliano, ikitumwa inakutafuta , ukikimbia inakukimbiza, ukijificha inakusubiri... ni balaa...
Nilisikia siku moja kule youtube Rc mmoja anadai anaogopa sana hiiKuna chip inasubiriwa kutoka NVIDIA, itawezesha drone kuwa na AI na kujiendesha, haitohitaji tena controller, hata kama kuna jammers za kukata mawasiliano eneo hilo hazitoweza kuidhibiti maana inajiendesha kwa akili zake haitegemei mawasiliano, ikitumwa inakutafuta , ukikimbia inakukimbiza, ukijificha inakusubiri... ni balaa...
Vijana wawekeze sana kwenye hizi teknolojia za AI na drones..Nilisikia siku moja kule youtube Rc mmoja anadai anaogopa sana hii
Hawa wasemaji nao maisha yao yanakuwa hatarini hata wasipoenda front line. Hivi yule msemaji wa wahouthi kule Yemen aliendaga wapi?View attachment 3548186
Msemaji wa kundi la waasi la M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Willy Ngoma, ameuawa katika shambulizi la ndege zisizo na rubani mashariki mwa DRC siku ya Jumanne.
Reuters imemnukuu mwanadiplomasia wa eneo hilo, afisa mmoja mwandamizi wa kundi hilo na mshauri wa serikali ya nchi za Magharibi akithibitisha kifo chake.
M23 inadhibiti maeneo makubwa ya majimbo ya Kivu Kaskazini na Kusini baada ya mashambulizi ya mwaka 2025 ambapo waasi hao waliteka miji ya kimkakati ya Goma na Bukavu.
Source Trt Africa
wamarekani niwatu wajanja sana, wanaanzisha fujo,wanajifanya wasuluhishi,kisha wanamtoa kafara mmoja wao kuonesha wako serious.Hawa wasemaji nao maisha yao yanakuwa hatarini hata wasipoenda front line. Hivi yule msemaji wa wahouthi kule Yemen aliendaga wapi?