Wanabeep balaa hawa hawajui tu kuwa muda huu ni mbaya sana kujipeleka
Hao magaidi wanajua picha halisi kuwa Iran ikiondolewa kwenye utawala wao watakuwa mwisho wao umefikaWakamsaidie kwanza Iran maana toka kaanza pigwa hawajarusha kitu
Wamesaidia tarehe 15 walirusha makombora.Wakamsaidie kwanza Iran maana toka kaanza pigwa hawajarusha kitu
We kenge unaye ishi Ulanga unajua nini ikiwa Israel army Chief anasema hawawezi kumshinda Iran we nani zaidi ya kenge tu. nenda Kanywe pombe za kiruguru afu ukalale tu.Wakamsaidie kwanza Iran maana toka kaanza pigwa hawajarusha kitu
Leo siku ya 6 je wamerusha tena?Wamesaidia tarehe 15 walirusha makombora.
Israel aliruhusu au ndiye alikolewa tukio la October 2023 ili apate sababu na njia ya kumfikia Iran.Hao magaidi wanajua picha halisi kuwa Iran ikiondolewa kwenye utawala wao watakuwa mwisho wao umefika
Wakiacha kutafuna mirungi na kuvuta bangi mbichi, Houthis watakuwa watoto wema sana.—❗️🇺🇸/🇾🇪/🇮🇷 BREAKING: The spokesman of Yemen's Ansarallah, Yahya Saree, confirms that Yemen will target all American navy and commercial vessels in the Red Sea and Bab Al-Mandab if the U.S. bombs Iran
@Middle_East_Spectator
We kenge unaye ishi Ulanga unajua nini ikiwa Israel army Chief anasema hawawezi kumshinda Iran we nani zaidi ya kenge tu. nenda Kanywe pombe za kiruguru afu ukalale tu.
View: https://youtu.be/hU_U9gZU570?si=fu5XyJyeKcdE1ypG
Ni pale mbwa anapobweka akitegemea mwenye nyumba atatoka kumbe alishatangulizwa mavumbini.—❗️🇺🇸/🇾🇪/🇮🇷 BREAKING: The spokesman of Yemen's Ansarallah, Yahya Saree, confirms that Yemen will target all American navy and commercial vessels in the Red Sea and Bab Al-Mandab if the U.S. bombs Iran
@Middle_East_Spectator
Myahudi wa ulanga umechanganyikiwa kwa kipigo kuliko hata bibi a.k.a NetanyahuHivi mbona mnapanic hivyo kuliko hata Iran wenye nchi yao? U Africa kazi sana.
Anapigwa yupo mwenyewe? Israel ni kivuli TU, US ndo anapigana hiyo vita.Israel aliruhusu au ndiye alikolewa tukio la October 2023 ili apate sababu na njia ya kumfikia Iran.
Tofauti na hapo Israel isingeweza mfanya chochote Iran maana angekuwa anapigwa na watu 5 kwa mpiga, huku Hamas. Kule Hezbollah, kule Houthis na Iran mwenyewe.
Ila kawakata wote sasa anajipigia tu
We kenge unaye ishi Ulanga unajua nini ikiwa Israel army Chief anasema hawawezi kumshinda Iran we nani zaidi ya kenge tu. nenda Kanywe pombe za kiruguru afu ukalale tu.
View: https://youtu.be/hU_U9gZU570?si=fu5XyJyeKcdE1ypG
Si ajabu hata Iran kamwambia US njoo upige ili Israel waseme umewasaidia vipi upige Nuclear kuwe hakuna Madhara hahahaMkuu kijasusi ii ipo tu Kawaida, ni moja ya kete imechezwa apo
Hao Wahouth wanaopigana pekupeku tena wakiwa hawajala chochote ndio watumishi USA?—❗️🇺🇸/🇾🇪/🇮🇷 BREAKING: The spokesman of Yemen's Ansarallah, Yahya Saree, confirms that Yemen will target all American navy and commercial vessels in the Red Sea and Bab Al-Mandab if the U.S. bombs Iran
@Middle_East_Spectator