Msemaji Serikali ya Israel: Mwili wa Mtanzania Joshua unashikiliwa na Hamas

Nandio ukweli kina bwana yule watakwambia ni collateral damage hua inatokea
Ila kwa hili nakuhakikishia nna zaidi ua 50% mazayuni yamehusika
Ila hamas wanawasikiliza tu nakuwangojea kwenye
zao wajae watoe ushahidi rasmi
Hamas hajawahi kuua watu kizembe namna ile
 
Chukua muda kidogo kufuatilia mjadala Kwa utulivu. Umeona mtiririko wa majibu ya mwenzako?
Mtiririko nimeuona kwakiasi fulani
Yaani hata wewe ulikua unauliza maswali wakati hujui kiini cha mambo tokea awali ilianzaje anzaje
 
ulishuhudia akitekwa ama kuuwawa na hamas
 
Kwa hiyo leo tunakubaliana kuwa wale walikuwa ni Hamas?
Umekubaliana nanani?

Nimekujibu swali lako lakuvaa boxer ya kijeshi ama hata kitambaa cha kijeshi waupande wapili akikuona na kitambaa ama nguo ya kijeshi hata kama utakua ni shekhe padri askof ustadh
Basi kwaile kuwa kwako na nguo ya kijeshi kama ulivyo sema kule juu unakua tayari umejieka kwenye engo yakupigwa shaba ama kudhuriwa
Nipe ushahidi kama wale hamas mie sijawahi kukubali kama wale hamas na wala sitakataa kama wale hamas kukiwa tu naushahidi
 
S
Kwanini unakwepa kujibu maswali yangu?
Serekali nyingi za afrika hazina uchungu wala kuthamini raia wake.
Na hili sio kosa lao, ni kwa sababu nyingi hazina nguvu wala usemi wowote zikiwa katika anga za kimataifa.

jaribu kubadili taswira na tuwavishe hawa raia wa 2 wa Tanzania Uraia wa marekani, ufaransa, ujerumani au uingereza.
Nadhani jibu unalo.
 
Propaganda hizi mkuu
 
Nataka kujua wale waliomuua walikuwa ni Hamas au sio?
 
Nataka kujua wale waliomuua walikuwa ni Hamas au sio?
Mimi na wewe hatujui
Au wewe unajua kama wale hamas na kama unajua nithibitishie kama ndio wenyewe hamas
Kama ikithibitika hamas ntawalaani kwa kitendo kile chakinyama kama jamaa hakua na sababu yakuuliwa
Umekubali kwamba ukiwa na nguo ya jeshi ukiwa eneo la vitani adui akikuhisi kama wewe adui yake hata kama sio mwanajeshi ana haki ya kukupiga shaba aka kujilinda dhidi yako?
 
Kama alitumika kuwasaidia mazayuni unategemea Hamas wamwangalie tu! Auwe watoto/civilians kisha hamas waseme ah huyu ni mTanzania tumuache tu!!

Naomba unisikilize mkuu! Thibitisha kama ni hamas ndio wamemuuwa!!
alitumikaje sasa hapo, hizo picha ni za watu wawili tofauti, labda kama uan mamcho ya kigaidi. huyo polisi ni Myahudi raia wa Israel mwenye asili ya ethiopia. Israel kuna wayahudi weusi kama 160,000 raia wapo serikalini na jeshini. sasa watoto wa mood mnakuja hapa ili kuwasafisha hamas, mnasema hiyo picha ya joshua ndio huyo huyo askari. akili zenu za kipumbavu sana hata sijawahi kuona. no wonder Israel anawapiga sana siku zote. angalia hapa afu sema kama huyu ni mtu mmoja.
 
Mbona picha ni za watu wawili tofauti.... Nikiwaambia JF inazidi kuwa na members vilaza mnaanza kulalamika.
Those are two different people.
wao wameamua kuzusha huu uzushi ili kuwafanya wapalestina waonekane hawajamuua Mtanzania. wakatafuta picha kwenye mtandao wakaweka. magaidi wana shida sana sana.
 
Mkuu punguza mihemko. Jibu swali langu la msingi sana kama joshua aliuliwa na hamas tarehe 7.10.2023 miongoni mwa wale 1400 kwanini Hamas waamue kuuchukua mwili wa Joshua tu mateka kwenda nao Gaza? Je mwili bado upoq salama haujaoza?
Israel walishatangaza mara kadhaa kwamba hamas wanashikilia miili ya watu wao. pia, kama umeangalia ile clip, unaona wale ni waisrael, au unabisha kwasababu dini yako inasema ubishe?
View: https://twitter.com/i/status/1736521697505824796
 
We ni mpumbavu, ina maana huoni hizo sura zinataka kufanana? masuala ya ugaidi yameingiaje?
sura zinataka kufanana? kweli upo na akili timamu, huoni unajiaibisha? wanafanana nini sasa hapo? mmoja anaonekana mzee kabisa na mwingine ni kijana. na kwa taarifa yako, hao vijana walikuwa wameshakaa wiki mbili tu na walipelekwa Israel na serikali ya mama (ambaye ni muislam) na mawazili wawili, Bashe ambaye ni msomali/mwislam na Makamba anajua pia hili. kweli hamjui hata kutengeneza vitu feki,kwamba hawa ni mtu mmoja. mtakuwa wajinga hadi lini ninyi?hiyo dini mbona inawafanyaga wapumbavu kama manguruwe ninyi?
 
Sawa walienda kwa magari na wakauwa watu 1400 .swali ni kwanini wa uchukue mwili wa Joshua tu kuuteka kwenda nao Gaza? Kwanini hawakuchukua na miili ya wale wengine waliowaua?
hivi kwa akili yako hilo ni swali la kutuuliza sisi au kuwauliza Israel, si uende ukawaulize waliomuua? ukiangalia hii clip ya October 7, unaona hawa wanaoonekana ni wanajeshi wa Israel? si hamas hawa? sikiliza hata wanavyoongea, wanaongea kiarabu.https://twitter.com/i/status/1736521697505824796
 
dogo yupo hapo na baiskeli,ninyi mnaleta lipicha la askari sijui mmeliokota wapi. oneni aibu, kama kutunga vitu tungeni vinavyoeleweka basi.
 
Sijakataa mkuu mimi swali langu kwanini wamuuwe waondoke na mwili wake? Mbona wengine waliwateka wakiwa hai na waliowauwa hawakuchukua miili yao?

Jibu si hilo hapo kwenye quote mzee baba...

Hata waliosambaza hizo video ni Hamas wenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…