Nashindwa kuelewa ni kweli Mh.Rais kakubaliana na hii dhana ya kuongerea nyuma ya pazia au ni mbinu ya kumgombanisha na wananchi ili ashindwe kutumbua majipu?
Ni wachawi tu na washirikina ndiyo pekee ambao hawataki shughuli zao zifahamike hadharani.
Kwa hiyo hao maccm nao kutaka shughuli zao bungeni ingawa wanajadili masuala ya wananchi ambao ndiyo wamewapigia kura lakini wabunge wetu hao hao hawataki wananchi wao waliowapigia kura wawaone LIVE wakitoa hoja zao.
Kwa hiyo ni vigumu kuwatofautisha wabunge hao wa CCM na wachawi na washirikina ambao ndiyo watu pekee ambao hupenda kufanya mambo yao kwa kificho na gizani!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.