Msema kweli mpenzi wa Mungu

Ongea vzuri na majirani hapo,kopa pesa watoto wafurahi kwa leo pia wajumuike na watoto wenzao,hii sio siku ya kukaa kinyonge
 
lakini kama mna afya za kutosha na amani inatawala nyumbani kwako yote kheri tu,
labda matatizo yatakapokuja kuanzia ukutwe unadaiwa na kodi ya nyumba tena, hapo ndio itakuwa kuisoma namba hakuepukiki
 
Sifa za wenye kupenda usemi wa "Msema ukweli mpenzi wa Mungu"

1. Hawajiamini
2. Ni watu katili sana
3. Waongo waliokubuhu
4. Wanapenda kusifiwa sana na kuonewa huruma
5. Wezi sana lakini hujifanya malaika
6. Hujiona wana akili kuliko watu wote.
7. Huweweseka sana kwa vitu vidogo vidogo tu.
8. Unafiki ni jadi yao.
 
[emoji849][emoji849][emoji849]
 
sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…