Mark Francis
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 605
- 310
Mwenye uzoefu kidogo katika mambo hayo naomba anisaidie. Kozi ipi ni nzuri kusoma Mzumbe Universitykati ya Msc Accounting & Finance na MBA Corporate Management kwa mtu ambaye tayari ana ACCA au CPA? Uzuri katika maana ya kupata ajira kirahisi, uwezo wa kujiajiri, applicability na releveance kwa hapa Tanzania.
Nimeuliza hapa kwa sababu najua kuna watu waliopitia hizo fields na pia wana uzoefu nazo. Kama huna uzoefu nazo au huna information kuhusu hilo, naomba ukae kimya.
Thanks in advance!
Nimeuliza hapa kwa sababu najua kuna watu waliopitia hizo fields na pia wana uzoefu nazo. Kama huna uzoefu nazo au huna information kuhusu hilo, naomba ukae kimya.
Thanks in advance!