Msaranga alluminium work

Msaranga alluminium work

Mkuu Tumsifu sam jitaidi kuweka kazi zako zaidi si sura yako, mana kazi zinaongea zaidi ya sura yako. Hapa jf kuna watu wa kila namna, wauchumi wa chini, kati, na juu. Wakulima vijiji mpaka viongozi serikalini, Kwaiyo unapoleta Uzi hapa kutangaza kazi zako leta bandiko lenye viwango picha zenye ubora na zitakazo nishawishi nikupe kazi, kwa Uzi wako huu nakupa %20 ungekuwa afisa matangazo wangu ningekushusha cheo na kukuamisha kitengo.
 
Tumsifu sam ,

1. weka picha ya kazi zako mbili tatu, na ikiwezekana utaje gharama za kazi hiyo.
2. weka picha yako, lakini iwe ndogo, pamoja na namba zako pamoja na anuani ya eneo unakofanyia kazi.
 
Watu wenye masikio design hiyo ni wajanja wajanja sana, kama sungura mwenyewe yaani.
 
Ok,Ahsante kwa ushauri wako, mkuu nimekuelewa ntakufanyia kaz ili kuboresha zaid suala la kaz
Next move fungua kurasa ya biashara yako INSTAGRAM maana nimekucheki huko sijakuona. Weka kazi zako huko kwa picha zilizopigwa na zenye muonekano mzuri wa kazi zako. You'll thank me later !!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom