Msanii Wa Vichekesho Unaemkubali...

Mom Fay

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,059
Reaction score
316
01; Majuto

02; Kiwewe

03; Joti

04; Massawe

05; Masanja

06;..........

mtaje wa kwako kama hapo hayupo,kati yao,unamkubali nani zaidi?!,tumpate mkali wa komedi
 
Mie kuna mmoja namkubali, ila hayupo kwenye orodha hii.
 
Hata mie ninaemkubali hayupo kwenye hiyo orodha yako
 
ticha ticha ticha hili swali sijafundishwa..........
 
sharo millionea RIP ,MKALI SANA YULE MCHIZ to be comedian is nat to wear in laf way right sharo nlimkual asee wengn chenga tu fo mi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…