Elections 2010 Msanii utamjua tu!!

Peasant

JF-Expert Member
Sep 27, 2007
3,949
687
Ndugu watanzania tukiwa tunaelekea uchaguzi mkuu ni vema tukatumia nafasi hii kuwachambua wagombea wetu ili kuangalia uwezo wao wa kiutendaji na sio uwezo wao wa kisanii. Kama picha zinavyoonyesha hapo chini, waweza kuona ni nani hasa kiongozi bora anayeongoza kwa mifano ya vitendo na uwajibikaji, na nani msanii tu mwenye malengo ya kuwahadaa wananchi bila ya uwajibikaji wowote zaidi ya kupiga debe tupu lisilo na tija.
Tutumie nafasi huu kuchagua kiongozi wa nchi mchapa kazi na sio msanii JK.
Chagua Slaa kwa manufaa ya nchi.
download

download

download

download

download
download
download

download
 
"Mzee wa kuanguka" akipewa hilo jiwe alilobeba Mzee Nyerere lazima limpeleke chini....LOL.
 
Back
Top Bottom