Hawezi kukundua kwamba sisi si mazuzu kwa sababu hata baba wa taifa aliwahi kusema bado ni kijana. Sitiari hii ina maana sana. Sentensi hii kiisimu inaweza kuchambuliwa hivi.
1. Kijana ana uelewa mdogo ukilinganisha na mtu mzima.
2. Kija mara nyingi anakurupuka.
3. Kijana hawezi kuongoza kwani hana uzoefu
4. Kijana anapenda kujirusha.
5. Mara nyingi kijana hakubali kukosolewa.
6. Kijana habebi majukumu sawa sawa.
n.k