Kilichonisikitisha ni kumwona juzi tarehe 31/12/2012 kwenye kipindi cha mkasi cha EATV. Alionekana ana afya njema na aliongea kwa furaha sana na alinifanya nikafurahi sana. Leo, siku mbili baadae kuskia ametutoka ni jambo la kushtusha mno. Sina lingine la kusema, RIP brother, pole sana Wastara.