juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
Hakujua kua ni kosa? Tatzo msanii mkubwa wa hip hop alaf anaishi kwa kiki..Jamani muoneeni huruma anafamilia ya watoto wawili na mama yake mzazi anamtegemea
aisee unaniangusha ney tangu lini kawa msanii mkubwaHakujua kua ni kosa? Tatzo msanii mkubwa wa hip hop alaf anaishi kwa kiki..
Kweli mkuu, ila me napendekeza aukumiwe viboko 365 awe anacharazwa kila siku kimoja kwenye maeneo mbali mbali ya mwili tena sehemu tofauti jijini dar na mikoani ili iwe fundishoLet by gone be by gone achapwe viboko 12 hadharani pale posta round about kisha wimbo wake huo mbovu ufungiwe, matamasha na shoo afanye ili wanae waendelee kwenda choo, au apigwe faini ya Tsh akigoma kuchapwa
Hakuna mtanzania asiyejua ya kwamba msanii wa muziki wa bongofleva Emmanuel Elibariki a.k.a Ney wa mitego kafungiwa na BASATA kwamba asijihusishe na muziki kwa muda usiojulikana.
Kwanza niseme tu hongera kwa kufungiwa kwa sababu huyu jamaa alikuwa anakera watu sana kwa nyimbo zake zisizoeleweka mlengo wake ilikuwa ni nini hasa?
Nyimbo nzima kusemasema watu tu,sasa ndio muziki gani huo?.sasa unajua ni kwa nini nakwambia kaumbuka? Ni kwa sababu huu wimbo wake wa mwisho kuutoa unaoitwa pale kati patamu ,ukiusikiliza utaelewa wazi kwamba alikuwa anatafuta KIKI kama aliyopata Snura na wimbo wake wa chura.
Sasa Ney alidhani na yeye ataitwa na media zote kufanya interview lakini kinyume chake hakuna hata chombo cha habari chic hire kilichomwita wala nini,na hata habari yake ya kufungiwa wala haijawa gumzo kabisa kwenye vyombo vya habari kama alivotegemea yeye.
Na hii ni kwa sababu clouds media walipotezea so hata media zingine zikapotezea pia.
Pole sana Ney
Jamaa alisema ana Bilion 1 bank akazitumie! kwanza huyu jamaa yaani miziki yake sijui ni style ipi ya mziki anaoimba! Aende akarithi kiti cha Jerry Muro ni kiropo sanaJamani muoneeni huruma anafamilia ya watoto wawili na mama yake mzazi anamtegemea
Hater katika viwango vyenuHakujua kua ni kosa? Tatzo msanii mkubwa wa hip hop alaf anaishi kwa kiki..
Ni roll model wako nnHater katika viwango vyenu