Msanii na mbunge mh Jaguar kutoka Kenya aja nchini kutafuta mchumba, Clouds wawapendekeza Mabeto, Diva na Wema Sepetu

Mwanamuziki Nguli kutoka Kenya yuko nchini kwa ajili ya mapumziko lakini pia kutafuta mchumba.
Ameyasema hayo katika mahojiano yake na watangazaji wa Clouds tv Bebi Kabae na Ngoma.

Mtangazaji Ngoma amewapendekeza Hamisa Mabeto, Diva na Wema Sepetu kama wachumba wanaofaa.

Source Clouds 360!
Huyu jaguar asije kurudi tena Tz ikiwezekana idara ya uhamiaji imzuie kukanyaga bongoland.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom