Msanii Irene Paul amtuhumu Rammy Galis kufanya maigizo kwenye msiba wa Masogange


Nakubaliana na wewe sana.Mimi huwa naangalia Isidingo mara kwa mara.Kwa kweli kuna tofauti kubwa sana.Waigizaji wengi kwenye Isidingo wana elimu hadi za chuo kikuu katika mambo wanayoigiza.
Hata teknolojia ya upigaji picha huwa inachangia sana kunogesha maigizo.Namna picha inavyovutwa hususan katika tukio la kuonyesha hisia kama vile kukasirika au kufurahi huongeza sana mvuto.
Na waigizaji wa Isidingo wanalipwa Mishahara ya maana kabisa kama wafanyakazi wakubwa tu.Muigizaji anayelipwa kiasi kidogo zaidi huwa hakipungui milioni 7 za kitanzania kwa mwezi.
 
Huyu alikuwa bwana ake kwa miezi 11 mkuu. Kama fantasy alishazitimiza and beyond. Anasema marehemu alimpelekaga kupima ngoma Sinza Palestina hivyo alimla hadi kaVu you know
Wee wee ht ningekuwa mm ningeflash back ningezimia tu si kwa tako hilo la masogawise
Jamaa aliflash back emotionaly akapoteza hadi energy
 
Mimi ninachoshangaa mwanaume kuzimia kisa kifo, inawezekana kweli?
 
Amesema hakuzima ila aliishiwa nguvu miguu ilikufa ganzi lkn alikua akijitambua sema nguvu ndo ziliisha.....na hiyo hali humtokea kila mtu anaefiwa na mtu wake wa karibu.
 
Ndio Watanzania tulivyo, kuhukumiana kwenye social media bila kuruhusu muhusika kujieleza. Yeye na hao waliombeba wameshathibitisha kuwa hakuzimia but aliishiwa nguvu tu.
 
Hilo linawezekana kabisa kwani inategemea na kiwango cha kuzimia!uliza daktari yoyote atakwambia kuwa hali hiyo inawezekana kabisa na wala sio usanii
 
waigizaji wa Isidingo wanalipwa Mishahara ya maana kabisa kama wafanyakazi wakubwa tu.Muigizaji anayelipwa kiasi kidogo zaidi huwa hakipungui milioni 7 za kitanzania kwa mwezi.
Mkuu isidingo ni habari nyingine mule ndani wote vipaji
 
Dada Irine poul,hakukosea alicjoongea ni kweli,kuna watu wanapenda sana kuigiza hata kwenye vitu ambavyo viko serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…