Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,367
- 2,407
Chadema hawana haja na wasanii mkuu huo mda wa kutumbuiza wanatoa wali na ni mda wa kuuza sera
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wakati wa kulamba Kodi zetu,Nimeweka mkuu angalia vizuri
LISU LISU LISUHaya uchaguzi ndiyo huo CCM wameshapata mrithi wa John Komba, CHADEMA nyie mnampango gani au mnasubiri kampeni zianze ndiyo muanze kupaparika?
Mkikuta wasanii wote wapo booked ndiyo muanze kutafuta mchawi.
Leo msanii harmonize ameachia wimbo matata kwa ajili ya kampeni za CCM mwaka huu 2020.
"Maendeleo hayana chama"
Sio.Wewe ndio Bia yetu,?
Ww dawa yako ni Lissu tu... subiria dawa kwa hamu... mgonjwa mtambuka dawa yako inakujaaaaaSio.
Una maana huyo kiwete wa ubelgiji?Ww dawa yako ni Lissu tu... subiria dawa kwa hamu... mgonjwa mtambuka dawa yako inakujaaaaa