Msanii gani wa kike hapa Bongo ana sauti tamu kama Jolie wa THT?

kibovu kichwa

Senior Member
May 17, 2019
145
106
Wakuu habari zenu!
Nikiwa naendelea na harakati zangu huku nasikiliza radio basi imepigwa ngoma moja ya msanii wa kike kutoka THT. Aisee huyu Dada wa kuitwa Jolie mi ananidatisha sana na sauti yake, yaani anasauti flani ya romantic inabembeleza mpaka mwisho. Tukiachana na Jolie yupo mwingine wa kuitwa Karen naye sauti yake ya kulegea legea mi wananimalizaga sana hawa watoto aisee. Siwapatii picha wakiwa kunako. Au mnasemaje wenzangu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom