Msanii Chris Brown: Uwezo wake siyo wa kawaida

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
20,897
63,784
Nimeanza kumfuatilia huyu jamaa tokea kitambo sana lakini, tangia namfahamu sijawahi kuona ameheribu kazi. Kuna wasanii wenzake kama Mario, Omarion, Young Lloyd na Bobby Valentino walivuma sana lakini wakapotea kwenye muziki. Lakini kadiri siku zinavyoenda huyu jamaa naona anazidi kukaza tu na akishirikishwa kwenye Collabo huwa haaribu kazi hata kidogo.

Kinachonishangaza ni kwamba anaimba sana lakini hata upewaji wake tuzo kubwa kama Grammy umekuwa ni hafifu sana. Kuna nyimbo zake ukizisikiliza utabaki mdomo wazi lakini ndiyo vileeeee.
Tatizo linakuja kuwa ni nini ??? Kuna huu wimbo mpya ameshirikishwa na Lil Dicky umehit sana na ubunifu uliutumika humu ndani umekuwa mkubwa kweli.

Palantir
 
nahisi ile kumchapa nakozi rihhana nayo inachangia, maana majuu wana upuuzi mwingi sana.

pia nami niulize huyu jamaa kwa nini anapenda kumshirikisha tyga nyimbo nyingi, ama wana project ya pamoja

Kwenye Interview zake nyingi huwa akiulizwa anamkubali sana Nani?Jibu lake huwa ni Tyga.
Kiufupi ni washkaji sana kama Temba & chege kwa bongo..
 
Me nadhani wanamnyima tuzo kama ya Grammy award sababu ya status yake, Chriss Brown ni mtu wa mtaani sana (mshikaji) sasa labda kumpa tuzo wanaonelea wataishusha thamani ionekane tuzo inaweza tolewa kwa kila mtu!. Pamoja na kile kitendo cha kumpiga Rihanna nacho still kinamcost!.
Au yawezekana ni kwamba hana uwezo wa kuibeba kutokana na aina ya washindani anaokutana nao wakati wa kuiwania!. Imagine Leonardo diCaprio muda wote alioact zaidi ya miaka 30 hakuwahi kubeba Academy Award for best Actor ndio akaja kubeba mwaka 2014!.
Ila Chriss kweli hajawahi haribu kazi na hajawahi potea masikioni. Naipenda Beautiful people na Should have kiss.
 
Basi tu ni stereo type zao hawa wazungu, lakini ukweli kipaji cha Chris Brown siyo cha kawaida kwa mtu yoyote anayefuatilia mziki. Yaani hakuna wimbo aimbe au ashirikishwe uwe mbaya, wanabana kijinga sana...!
 
Mbona kachua BET awards pia.
 
Beautiful ppl ni hatar
 
nahisi ile kumchapa nakozi rihhana nayo inachangia, maana majuu wana upuuzi mwingi sana.

pia nami niulize huyu jamaa kwa nini anapenda kumshirikisha tyga nyimbo nyingi, ama wana project ya pamoja
Walikuwa na Project ya pamoja.

CB anajua, tena vibaya mno. Unaweza kumuita hata MJ wa kizazi hiki,

Ila tatizo lake,

Ameridhika na mkwanja aliopata, haishi kubrag off na kujiona tajiri kupindukia

Anakula madawa na kufanya mastarehe ya ajabu ajabu kwenye maclubs ya strippers mpaka anakera

Amekuwa mkorofi, na anaweza biff za kijinga jinga kwa MAJIRANI zake anapoishi, kwa MA-EX wake mpaka kwa wasanii wenzake wakiume WANAOLIKE TU PICHA ZA MTANDAONI ZA MA-EX wake. Imagine

Yaani CB amekuwa mtu mwingine kabisa siyo kama yule wa kipindi kile cha WITH YOU !
 
Black Entertainment Television Award ???
Ile iko kwa lengo la watu weusi wenye asili ya Afrika... (Affirmative Action)
Na tena ilianzishwa kwa kuwa watu weusi waliona kama Grammy imejaa wazungu tu na inawabagua watu weusi hivyo wakaamua kujianzishia tuzo zao.

Yaani ni sawa na H BABA alivyoona eti anabaguliwa na BASATA hapewi TUZO akaamua kujianzishia na kujipa TUZO za FAMILIA !
 
Huwa hili suala nashangaa sana yanii.. Ukali wotee wa Brown lakini huwa simsikii kwenye tuzo kubwaa kabisa..nyimbo kama Loyal ilikuwa kali balaaa nkaona inapitaa tuu...!! Dont wake me up..yani zipo kibao
 
Nimeanza kumfuatilia huyu jamaa tokea kitambo sana lakini, tangia namfahamu sijawahi kuona ameheribu kazi. Kuna wasanii wenzake kama Mario, Omarion, Young Lloyd na Bobby Valentino walivuma sana lakini wakapotea kwenye muziki. Lakini kadiri siku zinavyoenda huyu jamaa naona anazidi kukaza tu na akishirikishwa kwenye Collabo huwa haaribu kazi hata kidogo.

Kinachonishangaza ni kwamba anaimba sana lakini hata upewaji wake tuzo kubwa kama Grammy umekuwa ni hafifu sana. Kuna nyimbo zake ukizisikiliza utabaki mdomo wazi lakini ndiyo vileeeee.
Tatizo linakuja kuwa ni nini ??? Kuna huu wimbo mpya ameshirikishwa na Lil Dicky umehit sana na ubunifu uliutumika humu ndani umekuwa mkubwa kweli.

Palantir

Mkuu, inakuaje umeandika uzi mzuri sana wa The King Chris Brown ila hamna hata sehemu umetaja kipaji chake kingine cha kudansi??
Jamaa ni shigda, namkubali sana! Baada ya Mj huyu jamaa kwenye dansing hayuko mbali.
 
Basi tu ni stereo type zao hawa wazungu, lakini ukweli kipaji cha Chris Brown siyo cha kawaida kwa mtu yoyote anayefuatilia mziki. Yaani hakuna wimbo aimbe au ashirikishwe uwe mbaya, wanabana kijinga sana...!

Hii part aliyo imba Kendall kwenye video, ni ubunifu na kituko hapohapo
‘Holy sh** I’ve got a ----,’
Kendall sang.
‘I’m going to explore that
right now. I’m going to
understand the inner
workings of a woman.’
Crazy
 
Mkuu, inakuaje umeandika uzi mzuri sana wa The King Chris Brown ila hamna hata sehemu umetaja kipaji chake kingine cha kudansi??
Jamaa ni shigda, namkubali sana! Baada ya Mj huyu jamaa kwenye dansing hayuko mbali.

About that, Chris Brown ni moto wa kuotea mbali mzee......!
 
Brown yupo vizuri ila kwenye tuzo unakuta yupo na vigogo mzee baba

Wewe unakuta yupo category moja na mtu kama
justin Timberlake unategemea nini?

Yupo na justin bieber kipenzi cha wadada wa huko kwao unategemea nini?

Yupo na wanawake ambao hawajui kushindwa kama kina

Taylor swift
 
Hii part aliyo imba Kendall kwenye video, ni ubunifu na kituko hapohapo
‘Holy sh** I’ve got a ----,’
Kendall sang.
‘I’m going to explore that
right now. I’m going to
understand the inner
workings of a woman.’
Crazy

DJ Khaleed, ooooh why am i Yelling...... ????
Hahahahahahah!
 
Back
Top Bottom