Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,200
Ni kweli inakuwa kama jamii ya weupe walivyotaka kumshusha Kendrick Lamar kupitia Macklemore lakini wakakuta moto wa kendrick ni aina nyingine[emoji23].Basi tu ni stereo type zao hawa wazungu, lakini ukweli kipaji cha Chris Brown siyo cha kawaida kwa mtu yoyote anayefuatilia mziki. Yaani hakuna wimbo aimbe au ashirikishwe uwe mbaya, wanabana kijinga sana...!