Msanii ambaye hajawahi kutoa Video/CD ya nyimbo

Msanii ambaye hajawahi kutoa Video/CD ya nyimbo

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Jamani kuna jambo huwa nijiuliza sana hivi hapa Bongo kuna wasanii ambao ni maarufu sana, lakini hawajawahi kutoa video za nyimbo? Mkuu kama unawajua tutajie hapa.
 
jamani kuna jambo uwa nijiuliza sana hivi hapa bongo kuna wasanii ambao ni maarufu sana lakini hawajawahi kutoa video za nyimbo? mkuu kama unawajua tutajie hapa

Niliwaza vby sn kumbe kuwa baada ya tukio la pale kkktcnza ungebadirika lkn mmmmm
 
Kuna mbunge mmoja hivi wa kiume sijui ni wa jimbo gani ana mipasho kama mzee yusuph nazani ni huyo
 
Back
Top Bottom