Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,910
- 6,706
Acha story za vijiweni mkuu.Alishawahi Kufika Bongo...! Kituko chake kimoja ni Kuziba pua....Eti Bongo inanuka
Chimbua hiyo utaikuta au Kipindi alipokuja Bongo We Ulikuwa bado Kuzaliwa?Acha story za vijiweni mkuu.
Wewe utakua ni vijana waliozaliwa miaka hii,MJ alikuja bongo na alikutana na rais wa wakati huo Ali hassan Mwinyi,pia aliziba pua na mdomo kwa kuvaa barakoa.Acha story za vijiweni mkuu.
Inawezekana lakini nasikia ni habari za uongo.Chimbua hiyo utaikuta au Kipindi alipokuja Bongo We Ulikuwa bado Kuzaliwa?
Inawezekana lakini nasikia ni habari za uongo.
Alishawahi Kufika Bongo...! Kituko chake kimoja ni Kuziba pua....Eti Bongo inanuka
Sioni barakoaView attachment 1870920
Michael Jackson akiwa na aliyekua rais wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi.
Alishuka Airport huku kavaa barakoa,hapo Ikulu.Sioni barakoa
Huyu pua yake ilikuwa ina megeka alikuwa na haki ya kuvaa barakoaAlishuka Airport huku kavaa barakoa,hapo Ikulu.
Kwa hiyo hapo alipokaa na Mwinyi,pua yake ilikua imesha jitengeneza tayari?Huyu pua yake ilikuwa ina megeka alikuwa na haki ya kuvaa barakoa
Roho ya kimaskini yenye chuki na roho mbaya...we usie na tuzo siku yako ya kufa haitokufikia?!Bahati mbaya hazikuweza kumsaidia wakati wa kufa ulipomfikia
Usiweke urafiki na masikini ishi nae kawaida tu masikini Wana roho mbaya sanaRoho ya kimaskini yenye chuki na roho mbaya...we usie na tuzo siku yako ya kufa haitokufikia?!
Stori za kwenye mbege na Gahawa.Alishawahi Kufika Bongo...! Kituko chake kimoja ni Kuziba pua....Eti Bongo inanuka
Wabongo kwenye ubora wao kuonyesha chuki, tuzo ni kielelezo cha Legacy aliyo iacha.Bahati mbaya hazikuweza kumsaidia wakati wa kufa ulipomfikia
Mawazo ya kimasikini hayo,ndio nyie ambao hua mnajifariji mkiona matajiri,utasikia "Hizo mali ataziacha Duniani"Bahati mbaya hazikuweza kumsaidia wakati wa kufa ulipomfikia