RIP......
huyu ni kati ya ambao walikuwa wanawaza sana miziki yao, sijui alikuwa anaandika mwenyewe?
siyo kila siku lazima kuimba mapenzi..... hata hizi zilikuwa zina-hit
nilikuwa napenda sana huu wimbo wake
Nimesoma habari nyingi katika blog nyingi na ninaisikia hapa Times Fm
http://www.issamichuzi.blogspot.com/2013/05/breaking-nyuzzzz-msanii-wa-bongo.html?m=1
Nilikuwa naomba kama kuna mtu aliyepata ukweli wowote kuhu msanii huyu!
Kifo cha umauti ama kifo chake katika tasnia ya mziki, please fafanua ili watu wachangie maana wengine tunatumia simu za mchina kwa hiyo hatuwezi kufungua hiyo link
Kifo cha umauti ama kifo chake katika tasnia ya mziki, please fafanua ili watu wachangie maana wengine tunatumia simu za mchina kwa hiyo hatuwezi kufungua hiyo link