Msambwanda ni furaha ya macho tu

Kuwa na mpira sio kujua kuucheza
Wasukuma wana N'gombe wengi lakini mapishi ya michuzi ya Nyama hawajui
Mchele mzuri unalimwa Mbeya lakini wapishi wazuri wako Pwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Cheki kitu ilivyojichora kuliko ubao
sina shida na misambwanda, mpaka uitafute


nafight with my weather
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…