MSAMAHA

Umefanya vema, mi pia hata nikikuomba msamaha nitahakikisha unakua kua umekosea.
Ila wengine wababe jamani especially wanaume .Yani kosa linaelekea kwake kabisa ila kukiri na kusema samahani hahahahahaha kati ya 10 labda mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah, kwa baadhi ya wanaume hili ni tatizo kwao. Ila ukimpata anayejua maana na thamani ya msamaha ni raha sana.
 
Na huyo mmoja mwenyewe ni mimi.
Meghan naomba unisamehe mpnz, najua ilikua ni bahati mbaya tu iliyokufanya uchepuke dear, najua umekwazika sana kwa kosa nlilolifanya la kuja kukufumania, sikukusudia mpnz wng bali ni upendo wng wa dhati ndio ulionifanya nije kushuhudia kwa macho yangu jinsi unavyonisaliti, ila kuanzia leo naapa sitarudia tena kukufatilia unapokua na michepuko yako honey, please forgive me.

Maendeleo hayana chama
 
Wengi wako hivo....nikigundua una tabia hizo, nakufutilia mbali na msamaha sikuombi!

Mambo ya kuabudu mtu mi sinaga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga chini huyo...kishost changu pia kina tabia hizi, sasa hivi nakiangalia tuu [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimsamehe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kivuruge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kivuruge

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah!mm hua msamaha nautoa kulingana na kosa lenyew,iv mtu nmekufumania na kenge flan hiyo roho ya kusamehe inatoka wap?huwa inakua iv,kwa watu tunasamehe lkn kwa unafiki mkubwa kwan akijarudia kakosa kadogo tu huwa unamkumbusha yaliyotokea ss hapo ulisamehe kwel?m naona bora mtu umchane tu kua kosa lako cwez kusamehe over
 
Nilimsamehe kwasababu nilikua nampenda ila ckufichi ni ngumu sana kumuamini tena mtu wa dizaini hyo, ni ngumu sana.Ile situation hua inajirudiarudia mara kwa mara akilini mwangu.
Love iliyokuepo mwanzoni si kama iliokuepo baada ya hyo issue kutokea.
Pain changes people, niamini ninachokuambia witnesJ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…