meghan markle
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 489
- 1,197
Ni kama uko kuchwani kwangu nawaongelea watu design hiyo. Muda wote anataka yeye aombwe msamaha, haoni kua yeye pia anamapungufu na hata mnapoliangalia kosa anali "frame" in way that wewe ndo unakua umebeba lawama .Yani anaona kama kukubali kua amekosea itamshushia points.kuna na wale ambao wanapenda wawe wanaombwa msamaha wao tu kila siku hata kama wao ndo wenye makosa.
Au unakuta mtu umejishusha umeomba msamaha hata kama kosa ni dogo tu ila mtu bado anabeba kitu moyoni na kuifanya kama ndo fimbo hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Equation x sio kila kosa ni la hukumu. Binadamu tunapishana kila siku, utahukumu wa ngapi?Inategemea na aina ya kosa,makosa mengine hayana msamaha....ni hukumu tu.
Kila nipatapo nafasi, kwani sijui nitakufa kwenye mazingira gani.Mungu unaemuamini unakumbuka lakini kumuomba msamaha
Nimekuelewa kuna misamaha mingine inaendana na 'reward' hasa kwenye mahusiano;unatafuta nafasi mnaenda eneo tulivu huku mkipata kinywaji baridi,na baadaye unamuomba msamaha kwa unyenyekevu pamoja na kumtunuku; kesi inakuwa imeisha.Equation x sio kila kosa ni la hukumu. Binadamu tunapishana kila siku, utahukumu wa ngapi?
Kuna makosa ya kuhukumu ,sikatai ila kuna haya ya kila siku mmepishana kauli au mtu kafanya kitu baade kika turn out vibaya kwasabu hakua informed vizuri... vitu kama hivyo.
Sasa hapo unakuta yeye ndio kakosea ikibidi imekugharimu pesa ama reputation yako lakini in a way labda na wewe hukumwelekeza vizuri ikapelekea yeye kukosea. Ina maana hapo wote mnamakosa.
Kuliko uhukumu kwanini msikae muongee, m-reason then msameheane??
In scenarios like these mmoja lazima ajishushe sasa akijishusha yaishe huyu mwingine analishikilia hataki Ku reconcile!
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha kama kuchepuka halinaga msamaha ata shetan hasingiziw apoInategemea na aina ya kosa,makosa mengine hayana msamaha....ni hukumu tu.
Hili kosa linazungumzika mkuuhahaha kama kuchepuka halinga msamaha ata shetan hasingiziw apo
Nina rafiki yangu wa hivi, nilipogundua ndivyo alivyo niliamua mimi kumuelewa. Hivyo alikuwa akinikosea basi mimi ndio naomba msamaha lakini nitahakikisha namfundisha kuwa yeye ndio alinikosea.kuna na wale ambao wanapenda wawe wanaombwa msamaha wao tu kila siku hata kama wao ndo wenye makosa.
Au unakuta mtu umejishusha umeomba msamaha hata kama kosa ni dogo tu ila mtu bado anabeba kitu moyoni na kuifanya kama ndo fimbo hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said!!Hivi mtu anapoombwa msamaha na kukataa kusamehe anajiskiaje??
Imagine umetofautiana na mtu na ili kurudisha amani na furaha ya mwanzo unaamua ujishushe na kuomba msahama. Kuomba huku msamaha haimaanishi kua wewe ndo mwenye makosa sana ; hapana bali wote wawili mmekwazana lakini unaamua kua THE BIGGER PERSON na ku initiate mazungumzo ili msameheane.
Lakini sasa upande wa pili wa huyu mlietofautiana, unaomba msamaha lakini inakua kama ndo kashikilia dhamana ya urafiki wenu au mahusiano yenu.
Sijui kama ni mimi tu ama na wengine mko hivi. Mimi inapotokea nimetofautiana na mtu, nitapenda tukae na tuongee kila mtu ajue amekosea wapi kisha tumalize kwa msamaha....yani by the time tunasema tusameheana tuanze upya basi niwe na amani kua nimeomba msamaha kwa kosa nililoli acknowledge na mwenzangu pia awe ameacknowlege kosa lake.
Msamaha ule wa mmoja kukataa kuongea bali anang'ang'ania kua tuyamalize kwangu hua sio msamaha bali ni "FUNIKA KOMBE...." na hua ina ni disturb sana.
Yani kuna watu wako hivyo tu, yeye anataka aombwe msamaha bila kutambua kua katika huko kutokuelewana na yeye pia amechangia kiasi fulani hivyo anatakiwa kuomba msamaha.....na still anakua mgumu ku acknowledge msamaha mwenzake. Ni kama mtu anaetaka akutese kisa tu umeomba msamaha ko anataka asamehe on his/her terms, when she feels like it.
Naamini katika mahusiano ya kikazi, ndoa, uchumba,biashara etc....msamaha mzuri ni ule mnaokaa na kureason sababu ya kukosana kwenu kisha mnamaliza kwa forgiveness.
Ni kama uko kuchwani kwangu nawaongelea watu design hiyo. Muda wote anataka yeye aombwe msamaha, haoni kua yeye pia anamapungufu na hata mnapoliangalia kosa anali "frame" in way that wewe ndo unakua umebeba lawama .Yani anaona kama kukubali kua amekosea itamshushia points.
Sent using Jamii Forums mobile app