Msamaha ni silaha, zingatia msimamo wako

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,262
Sio lazima utoe msamaha, msamaha ni ishara ya udhaifu kwa muombaji na muonbwaji (endapo ataukubali).

Actually tunajua kwamba kilakitu, kila tendo hufanywa kwa makusudio, hivyo kuombana ombana misamaha kwa mambo ya makusudio inakuwa how come.

Uliwezaje kwenda kinyume na makubaliano kwakutegemea msamaha? Una akili wewe?

Sikukupangia maanuzi yako ya usaliti, kwahiyo usinipangie maamuzi yangu nitakayochukua!

。Ikiwa kutoa msamaha ni kumpa adui yako silaha ya mwisho na hivyo ni kumruhusu kukumaliza.

。Ikiwa kutenda kosa ni sawa na kuchukua karatasi na kuichoma moto, kwahiyo hata uizime na maji kamwe haitorudi kama ilivyokuwa mwanzo.

。Guyz uaminifu ni kitu cha thamani sana kwahiyo usiutegemee kuupata from cheap people.

Never Ever!
 
pamoja sana nigga
Wengine tufanya makosa kisa kuna msamaha.
 
Hebu cheki hii
 
umeongea poitn kubwa sana mzee kuna mambo ya kusamehe lakini sio usaliti,japo sijajua umebase wapi hasa maanake kati ya wanaume walio wengi kuna tendency kwamba ni vyema mwanamke asamehe hata akijulikana kacheat ila mwanamke akikutwa ndo forever ticket.
 
Kitu kikiwa too much kinachosha.. Kuna ile kweli mtu alipitiwa hiyo kusamehe sawa ila mtu anafanya makusudi hapo hata atembee na tumbo msamaha hautoki..

Hiyo picha ya mdada nimeielewa sana..
 
Ninja kwa hiyo unamaanisha tusisameheane au?

Mimi nakusamehe ila sitasahau labda uzidishe maufundi kitandani nisahau bila kupenda.
 
Kusamehe ni kuachilia yale yalioujaza moyo wako, lakini kuna people hizo ni hatareee kama zimeumbiwa moyo wa chuma aisee!
 
Wanawake wanalipenda sana hili neno msamaha" Wataachika sana karne hii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…