Msalimie hivi

Ooyooo salaamu hii ni kwa wakiristo na wasiokuwa na dini lakini kwa wasilamu si vizuri kuushika mkono wa wake kwa sababu mwanamke ukimshika tu mkono au bega basi huwa na hormon ya mwili wake kusisimka na huwa hajitambui hapo wala litendwalo hapo tena ndo shetani wa mahaba uhingia na huwa poa kwa aina yoyote ya uzinzii na fanya utafiti utayaona na hasa kwa mke wa mtu ni chungu
 


sasa na huu usafiri wetu wa daladala wa kibongo,

kila wakati mnasuguana na kugusana hapo vipi ndugu?
 
hao wanaosalimiwa hivyo rahisi kama kumsukuma mlevi. Her fear is her weakness.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…