Msala ambao siwezi usahau kamwe


[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahahhhahhaaaa... Dah noma sana.
 
Babuu we unakipaji cha kutengeneza Nuclear maana si kwa story hiii....???

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Miaka ya 2020+ nipo zangu town napiga mishe zangu mara napokea simu wazazi wanadai tumekutafutia mchumba mkoani inabidi uje kuoa, dah!! Mm sina mpango hata wa kuoa mishe zenyewe za kuunga unga.nikajaribu kupinga wazee wakakomaa dah!

Nikaona isiwe tabu nikapanda ndinga hadi mkoa kufika ndio siku hiyo ya harusi kumcheki bi harusi kumbe nimesoma nae primary,basi harusi imefanyika,kumbe bi harusi nae ana msela wake wakitambo kamuaidi ndoa halafu yupo vizuri kipato,basi msela kapangana na demu wake wanipe msala ndo ishindikane,bi harusi nae wazazi wake wamemkomalia kama mm kwa kua wazazi wanajuana,

Basi tumefunga ndoa tumerudi nyumbani mara anakuja bibi yake bi harusi ananiambia mtoto ni bikra kwaiyo inabidi upige mzigo ili kesho ifanyike sherehe ya kumpongenza binti kwa kujitunza mm nikasema poa tu,kufika usiku si ndio inabidi nipigie show,ile namsaula nifanye ya yangu binti anapinga makelele nyumba nzima watu wameamka.

Kumbe kuna wageni kutoka sehemu mbali mbali walikuja kwenye sherehe,ikabidi wazee waje kujua kulikoni!! Aisee sita sahau binti anasema namlazimisha kumuingilia kinyume na maumbile.mbele ya wazazi wangu,nitafanyaje? Nani ataniamini kumbuka nilikua nakataa kuoa?

Inaoneka nimefanya makusudi dah!! Kulivyo kucha nikapanda bus nikarudi town sikutoka ndani wiki mbili hakuna Alie kua anaamini,ndoa ikaishia hapo,maisha yakaendelea demu akaenda kwa jamaa yake.

Kufika huko sasa kila wakilala mara wasikie wanachapwa bakora mara mauza mauza binti si akarudi kwa wazazi wangu kuomba msamaha na kueleza ukweli wote ulivyokua kuwa alipangwa afenye vile ili ndoa iharibike, kazi ikawa mm wataniambiaje maana nimeshachafuka mbele ya umma,basi nilikaa zaidi ya miaka 15 ndio nikasamehe.

Hivi sasa tuwasiliana kama mtu na rafiki yake japo yy hajapata wa kumuoa mpaka Sasa hivi.
 
Alooo
 
hahahahahahaha
 
Msala wangu kama wako huu hapa
 
ha ha ha
 

Mzee baba uchawi wako sio wa nchi hii
 
Pole mkuu ila mwaka umechengesha basi ungeandika kwenye 2000 ila 2020 mpaka leo haijapita miaka hata mitano
 
Nikisoma uzi wako najiona kabisa mimi
Hivi kwanini vibinti huwa tulikuwa tunajiapiza kuacha na hatuachi?
 
So ukahamia jera au wapi?
 
Mkuu kuna chanjo ya ki Tz inakuja, vp jaribio hilo, je utachanja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…