Nimefurahi sana kusikia kauli ya ukombozi
Basi kama haya maneno yamekutoka moyoni mwako na Mungu akubariki maana kuna viumbe hasa watoto
Wanaangamia kwa sababu ukombozi haujaja Tanzania.
Kwani ni Lazima Uwe Chadema ukiona hakikufai si unatafuta Chama chenye katiba inayokupendeza wewe?
Anaeiona Cdm haiko sawa akae pembeni atuachie chama chetu.